Kasentensi flani hivi ka kukimbia majukumu[emoji23] eti msubiri vya mwanaume
Nimekuelewa vizuri MkuuSwali lako lina hoja mbili za majadiliano... 'Mwanamke yupi ana mvuto zaidi wa kuolewa?'
A) Mwanamke anayejishugulisha
B) Mwanamke anayekaa nyumbani
Naweza kujaribu kuzijibu hizo hoja kulinganisha na swali lako
Ki uhalisia kwa nyakati za dunia ya sasa na maisha yalipotoka na yanapoelekea sasa hivi, lazima tukubaliane kwamba binadamu yoyote kwa dunia ya sasa awe mwanamke au mwanaume unalazimika kujishughulisha na kitu chochote ili awe na uhakika wa kuishi.
Kwangu mimi binadamu asiyejishughulisha na kitu chochote cha kumuingizia kula ni binadamu hatari sana sio tu kwake bali hata kwa watu wanaomzunguka.
Kwa kusema hayo, mimi sitakuwa tayari kuoa mwanamke asiyejishughulisha na kitu chochote ama pia sikushauri wewe kuolewa na mtu asiyejishughulisha na kitu chochote.
Kuna hatari nyingi na madhara ya kukiuka hii kanuni, hiyo nakupa homework wewe utafakari zaidi siwezi kuandika kila kitu.
Mind you, sijaongea kitu kuhusu kuoa ama kuolewa na mtu mwenye pesa. Nimeongelea kuolewa ama kuoa mtu anayajishughulisha. Kuna utofauti pia hapo "Mtu mwenye pesa vs mtu anayajishughulisha' ingawa kwa muktadha fulani fulani vinaweza kuingiliana ila msingi haswa unaanzia kwenye kujishughulisha
Habari ndo hiyo, kwa hiyo na wewe kama unahitaji kuolewa unatakiwa ujishughulishe na chochote.Nimekuelewa vizuri Mkuu
Habari ndo hiyo, kwa hiyo na wewe kama unahitaji kuolewa unatakiwa ujishughulishe na chochote.
Tatizo wanawake wengi hata huku uswahilini nnapoishi wanadhani kwamba kujishughulisha kwa mwanamke lazima awe na elimu fulani. Mwisho wa siku wanaishia kukaa vibambazani na kufumuana na kusukana nywele na kukimbizana na kivuli cha jua.
Hawaelewi kwamba hata kupiga mihogo na chapati akapata faida 20,000 kwa siku ni kitu kikubwa mno na kinampa heshima kwa mwanaume.
Umeona eeeKasentensi flani hivi ka kukimbia majukumu
Mimi hili suala nitazidi kulizungumza kila siku, hela nyingi hizo ni shilingi ngapi? Mimi mwenyewe unakuta najishughulisha na mambo yangu ikiwa yeye atabarikiwa kupata hizo unazosema ni hela nyingi, mimi kwangu haita nihusu sana lengo langu ni kuona maisha yake yanabadilika na kuwa mazuri.Kweli kabisa, lakini akiwa anajishughulisha pale anapata ela, ukimuona ana ela nyingi huto'ogopa?
Mimi hili suala nitazidi kulizungumza kila siku, hela nyingi hizo ni shilingi ngapi? Mimi mwenyewe unakuta najishughulisha na mambo yangu ikiwa yeye atabarikiwa kupata hizo unazosema ni hela nyingi, mimi kwangu haita nihusu sana lengo langu ni kuona maisha yake yanabadilika na kuwa mazuri.
Hayo ya kusema eti akipata hizo 'hela nyingi' kwamba labda anaweza kubadilika tabia hilo ni suala la character na tabia ya mtu. Hata hivo bado sijaprove mwenyewe hicho kinachosemwa kwamba 'mwanamke akiwa na hela nyingi' kwa hiyo siwezi kukitolea maelezo ila kwangu mimi siwezi kumuogopa mwanamke wa namna hiyo.
Hahahahaa πππ.. naona ungeongezea neno MWANDISHI KUHUSU TABIA ZA WANAUME... 'Fasihi andishi pia inaweza kudanganya wakati mwingine' ... Ni sawa na waandishi kuhusu nadharia nzuri za mapinduzi waishio katika nchi isiyokuwa na mapinduzi π (of coz Hii haina uhusiano na ulichoandika)Wewe ndio maana sahihi ya neno MWANAUME
AhsanteMimi hili suala nitazidi kulizungumza kila siku, hela nyingi hizo ni shilingi ngapi? Mimi mwenyewe unakuta najishughulisha na mambo yangu ikiwa yeye atabarikiwa kupata hizo unazosema ni hela nyingi, mimi kwangu haita nihusu sana lengo langu ni kuona maisha yake yanabadilika na kuwa mazuri.
Hayo ya kusema eti akipata hizo 'hela nyingi' kwamba labda anaweza kubadilika tabia hilo ni suala la character na tabia ya mtu. Hata hivo bado sijaprove mwenyewe hicho kinachosemwa kwamba 'mwanamke akiwa na hela nyingi' kwa hiyo siwezi kukitolea maelezo ila kwangu mimi siwezi kumuogopa mwanamke wa namna hiyo.