Hivi kuhonga kukoje? Na mtu unaanza anzaje kuhonga?
Kwa ubahili wako kila siku utaishia kuwaona wanawake wazuri wakiwa nawanaume wengine utaishia kuwaita mashemeji kila siku.
Poyeeeeeeee

Kwani ninashida na wanawake wazuri mimi?
Ni heri niwe bahili ili niendelee kuwa tajiri kuliko kumhonga mwanamke kwa starehe ya dakika mbili.
Aiseee. Kumbe?
Utajiri wa kushinda jf????
Komaa nao hao hao wenye sura kama ......haangaliki mbele wala nyuma......
na wewe kuku?maana kuku ndo ana starehe ya dakika 2
Sina kazi zaidi ya kushinda JF na kuponda raha Punta Cana, St. Tropez, na Tribeca
Mi simba wa nyika.
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama mdomo mpaka ajilaze kama ngamia wa kuchinjwa. Mwe! siwajui walalao bila walau rushwa kwa ahadi. Wanangu achene kudanganyana sifa ya mwanababa ni kuhonga si kupiga domo tupu utashangaa wenzio wanajibebea wewe upo tu na maneno yako mengi! Honga mwanaume uujue utamu.
Maneno ya mwanaume fisadi...
Ukiona mwanaume anatetea habari za kuhonga ujue hana hulka ya kutulia na mwanamke mmoja...
Kwa kifupi anaamini mwanamke ni chombo cha starehe na thamani yake ni hiyo pesa aitoayo...
Tusingeingia jf Ungekuwa na nauli ya kuja tu bongo kwa mwaka mara 1 bila madeni huko tusingepumua.
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama mdomo mpaka ajilaze kama ngamia wa kuchinjwa. Mwe! siwajui walalao bila walau rushwa kwa ahadi. Wanangu achene kudanganyana sifa ya mwanababa ni kuhonga si kupiga domo tupu utashangaa wenzio wanajibebea wewe upo tu na maneno yako mengi! Honga mwanaume uujue utamu.
Best hapo tunapishanaga mimi na wewe

Mkuu!Mwanamke yoyote mwenye ku-entertain kuhongwa ni kwamba hajielewi...
Mkuu!
Hapa kazini ma sister duuh wote wamenishtukia kuwa "mm ni mali-kauli" na tayari hawa 3 wameniambia live kuwa hawataki kuja gheto kwani wana uhakika wataondoka bila chochote!
Kibaya zaidi huyu mmoja nakaa nae mtaa mmoja so kaja hadi kuwaambia mademu wa kitaa kama mm sio mtoaji!
Maneno kama mwanamme halisi haongi yapo kwenye nadharia tu na ukiyaendekeza ma sister duuh wote wakali utakuwa unawaita shemeji ahahah!
Kuna mashemeji wanzimaga taa.... Kiuweli, ukiona mwanamke anapenda sana kuhongwa, basi ujuwe huyo si wa kutulia na mwanaume mmoja. Kwa sababu si kila mwanaume atahonga kila siku, so siku ya kutohongwa, hawa akina amu hawakawii kwenda kuhongwa kwinginw hadi hapo atakapopata uhakika kuwa upo tayari kuhonga tena na tena na tena