Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Kama hujui bei ya kutu kaa kimya, sio kuweweseka hovyoall star ya 21000 bila shaka ni mdosho
Kwa ufupi tu, Adidas zipo hadi za 290000.Adidas hizo kwa elfu 40000 huo ni utani itakuwa fake ila samahani
umefanya maamuz sahih.Okay....but ungejua natupia adidas mpaka Za laki 5 wala usingesema hivyo wacha nikae kimya
mbona hasira mkuuKama hujui bei ya kutu kaa kimya, sio kuweweseka hovyo
Ipo ndefu bro.Apologyzzz una all star black plain?
Masihara kwenye mambo ya muhumu huwa sipendi, hvo basi mtu kuleta ujuaji kwenye biashara yangu pia sipendi.mbona hasira mkuu
Mkuu JF ni jukwaa la great thinkers...usitegemee kuwashikisha watu ovyo...wape watu information ili wafanye informed decisions...Masihara kwenye mambo ya muhumu huwa sipendi, hvo basi mtu kuleta ujuaji kwenye biashara yangu pia sipendi.
Hapa ni huru, kama unabiashara yako OG unaruhusiwa kuweka, sio kuja kunifundisha mim kijinga,
Hii ndio inawarudisha sana wa Tz nyuma, ujuaji mwingi, utendaji ziro, watu wakifanikiwa, wameiba, freemason au wamehongwa, punguzeni midomo.
Kwa tuliopo mikoani inakuwa niaje kuzipata mkuu?Ipo ndefu bro.
unatumiwa popote ulipo, ni pm nikuelekezeKwa tuliopo mikoani inakuwa niaje kuzipata mkuu?
Unadhan mim mgeni hapa jukwaan?????Mkuu JF ni jukwaa la great thinkers...usitegemee kuwashikisha watu ovyo...wape watu information ili wafanye informed decisions...
Haya mkuu....but kwa ushauri ili uweze kuwa sustainable na kuwalinda wateja wako..jaribu kumuweka wazi..but kama unataka kumuuzia only once go on..Unadhan mim mgeni hapa jukwaan?????
Kiufupi hapa sio mgeni, na nafanya biashara kwenye social network yote umazofahamu, nawajua wateja na wasio wateja.
Situmii nguvu kubwa kujibu wajinga bhaaaas.
Hebu tulia. Naomba kwa utulivu kabisa nipatie maelekezo unayodhani yamemis hapo.Haya mkuu....but kwa ushauri ili uweze kuwa sustainable na kuwalinda wateja wako..jaribu kumuweka wazi..but kama unataka kumuuzia only once go on..
ok..kama hakuna fake..naomba uniuzie hyo all star basi...Hebu tulia. Naomba kwa utulivu kabisa nipatie maelekezo unayodhani yamemis hapo.
Pia nisaidie Adidas na All star. Zina matoleo mangapi na nchi zinakotoka. Ainisha hapo. Na namna ya kuzitofautisha.
Maana mim ninachojua sijasema hzo ni OG, na wateja wangu wanajua. maana niweka sana hapa OG baadhi wakalalamika kuwa bei kubwa, ndio sababu nacheza na zote.
Na usichojua hakuna bidhaa fake hapo, najiamin kwa hlo, kwakua kuna wengi wateja wangu humu nj wanajua hlo.
Hebu sema yako nakusikiliza.