Mnaotarajia kununua ps4 ila mna TV zile cable za rangi tatu msije mkaingia hasara bure due to lack of awareness
View attachment 226692View attachment 226693
Play station 4 saizi inatumia teknolojia ya h.d.m.i cable kuunganisha ps4 na tv display hii feature ya hdmi inabidi uwe na t.v za kisasa ambazo ni h.d, kama una t.v zile za kuconnect rca cables zile nyekundu,njano na nyeupe ps4 kwako itakuwa mzigo tu hata usifikirie kununua .
Alternative ipo kama unaweza kufanya manunuzi ebay kuna adapters zinaconvert hdmi kwenda rca connection,
ila bado utapata poor gaming quality.