Mchaga mmoja alienda baa na marafiki zake kunywa pombe.
Baada ya kumaliza starehe zao bili ikaletwa ikionyesha kila mmoja kanywa kama ifuatavyo:
Manka sh35,000
Marieta sh20,000
George sh30,000
Kitambawazi sh15,000
Luka sh10,000
Total sh110,000
Mchaga akaicheki akasema,wote nitawalipia lakini huyo 'Total'simlipii,kwanza anamiliki sheli kibao za mafuta hapa bongo.