Donkey JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,499 Reaction score 1,585 Dec 8, 2017 #1 Naangalia azam two wabunge Msigwa na Mtolea jinsi wanavyojibu hoja Kwa uhakika.hongereni sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
Naangalia azam two wabunge Msigwa na Mtolea jinsi wanavyojibu hoja Kwa uhakika.hongereni sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
Friday Malafyale JF-Expert Member Joined Jan 18, 2017 Posts 1,819 Reaction score 2,942 Dec 8, 2017 #2 Msigwa hajawahi niangusha always kabisa ni mtu anayesoma tofauti na kina musukuma wa kule Geita
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,496 Dec 8, 2017 #3 mtolea anajiteteaje hapo?
Donkey JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,499 Reaction score 1,585 Dec 8, 2017 Thread starter #4 radicals said: mtolea anajiteteaje hapo? Click to expand... Ajitetee nini. Tofautisha kati ya Mtolea na Mtulia
radicals said: mtolea anajiteteaje hapo? Click to expand... Ajitetee nini. Tofautisha kati ya Mtolea na Mtulia
Lukwafya bhagasi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 1,236 Reaction score 1,257 Dec 8, 2017 #5 Msigwa ni kichwa hao akina msukuma ni miguu tu tena ni kwato za ng'ombe kabisa jumlisha kina chakubanga wa pale Lumumba's street
Msigwa ni kichwa hao akina msukuma ni miguu tu tena ni kwato za ng'ombe kabisa jumlisha kina chakubanga wa pale Lumumba's street
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,496 Dec 8, 2017 #6 Donkey said: Ajitetee nini. Tofautisha kati ya Mtolea na Mtulia Click to expand... ok
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Dec 8, 2017 #7 Msigwa anafuatilia dunia kuna wengine wao ni kufuatilia wake za watu ili kwenye misiba wapingane na risala
Msigwa anafuatilia dunia kuna wengine wao ni kufuatilia wake za watu ili kwenye misiba wapingane na risala
amatolo JF-Expert Member Joined Jul 24, 2017 Posts 690 Reaction score 714 Dec 8, 2017 #8 wote watarud nyumbani ni swala la muda tu, tuweni makini 7billioni na albadir sio mchezo
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,811 Dec 8, 2017 #9 Donkey said: Naangalia azam two wabunge Msigwa na Mtolea jinsi wanavyojibu hoja Kwa uhakika.hongereni sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo Click to expand... Mahaba niue! Hoja zipi na kajibu vipi na kwa umakini upi?? When you are more dense than them, whatever they say will be "wanavyojibu hoja kwa uhakika".
Donkey said: Naangalia azam two wabunge Msigwa na Mtolea jinsi wanavyojibu hoja Kwa uhakika.hongereni sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo Click to expand... Mahaba niue! Hoja zipi na kajibu vipi na kwa umakini upi?? When you are more dense than them, whatever they say will be "wanavyojibu hoja kwa uhakika".