Msidharau dawa za asili

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,163
Kuna mtu ambae ni HIV+ anaishi China, anatumia dawa za kitengo. Amekuja likizo Tanzania aliwafahamisha ndugu wa karibu tatizo lake. Wakati huo CD4 level zake zilikuwa kati ya 450-480. Ni bahati sana kwa HIV+ kuwa na CD4 zaidi ya 500.

Ndugu hawakustuka, walimletea dawa ya mizizi kutoka Mbulu. Hii dawa ni dose tatu na kila dose ni mwezi mmoja. Unachemsha mizizi na kunywa kama chai. Asubuhi, mchana na jioni lazima umalize kikombe cha heshima.

Baada ya likizo kuisha amerudi China. Amepima damu CD4 zimefika 700. Hata madaktari wanaomtibu wameshangaa.
 
Mwenye dawa ya ukimwi, hawezi ipromote, itajipromote yenyewe.

Mfano mzuri, babu wa loliondo hakuwahi jitangaza popote, ila maelfu warifurika kwake mpaka viongozi wa juu.
 
Mwenye dawa ya ukimwi, hawezi ipromote, itajipromote yenyewe.

Mfano mzuri, babu wa loliondo hakuwahi jitangaza popote, ila maelfu warifurika kwake mpaka viongozi wa juu.
Na hao maelf ya watu walijuaje habari za babu wa Loliondo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…