Msichana anayekufaa unamfahamu wewe mwenyewe, ukitaka tukuambie sisi kila mtu atakuwambia kulingana na mapenzi ama matakwa yake na mwisho wa siku utapotea kabisa. Ni wewe ndo unajua utaka mwanamke wa namna gani, kwa vigezo ulivyojiwekea wewe mwenyewe.
Miluzi mingi humpoteza mbwa.