Msichana wa stationery anahitajika - Ukonga

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
Anahitajika msichana wa kazi ya stationery haraka.

Awe na ujuzi wa

1. Computer application, that is; word 2007, Excel 2007 and Publisher

2. Photocopy Machine application. Photocopying and scanning

3. Internet & E-mail

4. Card design

5. Lamination

Mshahara maelewano kulingana na uzoefu.

Awe anaishi maeneo ya Ukonga Dar es Salaam ili asisumbuke na usafiri!

Ni PM kwa kupata mawasilino na makubaliano.
 
Huyu hapa ana sifa zaidi ya hizo anahitaji. Contact zake 0759 492 603. Kazi please no more!
Maana kuna watu ustaarabu F. ASANTE.
 
Mr. Stationaly boss mwingine huyu hapa 0717 109 758. Uzoefu nakila kitu. Wasiliana hapo. jamani Mimi ni member Wa group moja inaitwa WISE FACEBOOK. kwahiyo usishangae ukiona napost saana number au chochote kinachofanana na udalali Mimi ni mwenyekiti WISE FACEBOOK DAR ES SALAAM KWAHIYO NAKUA NA SHARE MATANGAZO HAYA HUKO. KARIBUNI WISE OF FACEBOOK.
 
Niwashukuru wote mliojitokeza kuomba hii nafasi ya stationery...wengine mlichelewa maana nilipata Message nyingi sana kwenye Inbox. Waliowahi ndo niliwapa kipaumbele na hatimaye kufanikiwa kupata. Next time wadau au nikisikia tutapeana mchongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…