Kwa nini msichana?
Pia ili ufiche huo utapeli weka wazi yafuatayo;
1. Taja kampuni au shirika linalohitaji huyo marketing
2. Anuani ya shirika husika
3. Cheo cha huyo anayepokea hiyo email
4. Mnajihussha na nini, isije kuwa casino.
Siku nyingine usIhitaji kurekebishwa mambo muhimu Kama haya!