Msiba Tanzaniteone

gwala

Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Wandugu kuna mlinzi wa Tanzaniteone amefariki asubuhi hii mgodini. Na sasa mwili uko njiani kuelekea kcmc kuhifadhiwa. Jina ni Kaaya mwenyeji wa Bomang'ombe. Anayeweza kufatilia zaidi afanye hivyo
 
Amekufa kwa ugonjwa siyo ajali ya mgodini.Alikuwa muhimu kwa kazi yake na familia taratibu zote zinafanyika kwa mazishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…