Ok naomba niwasaidie na niko tayari kutoa ushauri kwa yeyote atakae penda..,, kwa hapo juu wote waliotangulia wanaweza kuwa sahihi lakini HASA Arkad ntamuunga mkono zaidi,,,,.. kwa namna gani naweza kusaidia hii ni profile fupi yangu = ninafanyabiashara mbalimbali tangu 1981-sasa, elimu Dip. engineering,Degree B.com finance,MBA.PGDip entrepreneuship (finalist). maana yangu ni nini Practical experience ya biashara zaidi ya 25 yrs na elimu ya darasani ndio hiyo. ni kweli kabisa pana mambo mengi sana pana tofauti kubwa kati ya hao watu 2 msomi pekee na mtendaji pekee inategemea sana na hoja husika kwa atakaye penda kuuliza nitajitahidi kwa kadri niwezavyo kumsaidia, kimaendeleo yangu ya biashara japo sijafikia marengo yangu lkn nimeadvance vya kuridhisha - In operations and Investments na biashara zetu ni moja ya huduma muhimu sana ktk baadhi ya mikoa hapa nchini KARIBUNI....