Katika nchi nyingi za Africa Rais ndio cheo kikbwa cha madaraka.
Wanasiasa wengi wana ndoto za kuwa Rais wa nchi ila ili kufikia cheo hicho mchakato wake ni mrefu sana,km huna imani utatumia njia ambazo si sahihi ili kuwa Rais.
Mfano bwana T.A.M.L anatumia njia mbovu kuupata na hatopata kamwe.
Hoja yangu ya msingi hapa ni kuhusu mshahara wa Rais hasa Tz,wataalamu wa siasa na fedha wanasema Rais mstaafu anapokea 80% ya mshahara wa Rais wa sasa..
Swali langu la msingi km Mh Rais ameshusha kiwango chake cha mshahara hapo inakuwaje?
Kwa mfano km Mh Rais kikwete alikuwa anapokea Tsh 200 na Mh Magufuli ameshusha hadi Tsh 100
Je Mh kikwete atachukua 80% ya Tsh 100 au 200%?
Nauliza hivi coz inasemekana mh Magufuli amepunguza mshahara wa Rais.
Sent using
Jamii Forums mobile app