thespecial one Member Joined Mar 20, 2017 Posts 81 Reaction score 23 Jul 7, 2022 #1 Wakuu habari, Samahani kwa wanaolifahamu hili jambo la mshahara wa broadcast technician ni kiasi gani? Na je, broadcast technician anakuwa anafanya mambo yapi haswaa?
Wakuu habari, Samahani kwa wanaolifahamu hili jambo la mshahara wa broadcast technician ni kiasi gani? Na je, broadcast technician anakuwa anafanya mambo yapi haswaa?
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,219 Jul 8, 2022 #2 Ngoja waje
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,412 Reaction score 7,005 Jul 8, 2022 #3 Kama umepata kazi si uende kazini utajua hukohuko