abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
iv ndugu zangu
polisi wanalipwaga tsh ngapi?
Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo
haangalii kushoto wala kulia.
Kwa vyovyote vile we ni insanity tu,what is your logic ?Usidharau kazi ya mtu ata siku moja regardless una umri gani ,ukishajua ndo utafanya nn! Cku nyngine uhulize vizuri cyo kwa kutumia masaburi