Wakuu nimeambiwa mshahara wa Clement Mzize ni Milioni 40 kwa Mwezi
Ndiye mchezaji ghali zaidi Tanzania?
Nimemsikia pia Ghalib Said Mohamed (GSM), Mtangazaji wa Azam TV, Mzinga jana alidokeza hivyo
Kama ni hivyo hongera sana kwa wachezaji wazawa sasa mpira unalipa.