Habari wana jf,
Mpaka muda huu kuna foleni ya kutosha kwenye ATM mbalimbali watu wakisubiri kutoa pesa huku mshahara ukiwa Haujaingizwa.!!
Kwa maeneo niliyopita kama ATM machine shoppers plaza mikocheni,mwenge,mlimani city na watu wanatoa maneno makali sana kwa kutokuwekewa mishahara.
Naomba sana msiniombe picture maana niliyoyaona na nikijifanya napiga picha kitakachonikuta ni Hasira zote kunimalizia mimi. Sijamaanisha walimu wala wale wa mpaka tarehe 36 ila mmmmhhhh niishie hapa maana haya malalamiko yananifanya nishindwe hata kutype na wanaakika ikivuka Leo ni jumatatu!!!
N.B;Tuishi kwa akili sana kipindi hiki maana watu sana jazba sio kuchoka na kazi Bali tulizoea kama tarehe 22 itaangukia jpili basi mzigo utasoma 21 Leo patupu