Msg usiandike kizeezee utakosa warembo wewe

KITEKSORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
346
Reaction score
425
Kinachokukosesha mademu ni mameseji unaandika kizee blaza πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mfano mpenzi andika mpz , uko wapi andik uk wp, I love you andika I lv u, I miss you andika I mc u, sasa andika xaxa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kinachokukosesha mademu ni mameseji unaandika kizee blaza [emoji1][emoji1][emoji1] mfano mpenzi andika mpz , uko wapi andik uk wp, I love you andika I lv u, I miss you andika I mc u, sasa andika xaxa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo utapata madem wenye akili kama zako za kuandika xaxa badala ya sasa
 
Kinachokukosesha mademu ni mameseji unaandika kizee blaza [emoji1][emoji1][emoji1] mfano mpenzi andika mpz , uko wapi andik uk wp, I love you andika I lv u, I miss you andika I mc u, sasa andika xaxa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
siwezi kwakweli kuandika kama slay qeen ivyo.
 
Wahuni wanajijua wenyewe automatically
 
Sms za hivyo mala nyingi zinaandikwa2 na vyangudoa au wanafunzi2 wa vyuo waliojigeuza makahaba.
 
Naanzaje kuandika hivyo wakati demu Mwenyewe anaandika
"Umerara au unakura mupenzi"
 
Kinachokukosesha mademu ni mameseji unaandika kizee blaza [emoji1][emoji1][emoji1] mfano mpenzi andika mpz , uko wapi andik uk wp, I love you andika I lv u, I miss you andika I mc u, sasa andika xaxa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wht the faki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…