Hii mada nilidhani kaandika mtu wa maana kumbe wewe hewa! Hovyo kabisa.Aliyekuwa Makamu M/kiri wa CCM na Spika mstaafu Pius Msekwa amesema Chama cha Mapinduzi kimejiandaa kwa yote kushinda au kushindwa kwa vile hakitakuwa chama cha kwanza barani Afrika kushindwa.
Ameongeza kuwa CCM isibweteke kwa kuwa ni chama kikongwe, amesema kuna vyama vilivyopigania uhuru kama KANU na vingine vilijikuta vikiangushwa na vyama vidogo na vichanga kwa kusimamisha wagombea wasiokubalika.
Chanzo: Mtanzania.
Aliyekuwa Makamu M/kiti wa CCM na Spika mstaafu Pius Msekwa amesema Chama cha Mapinduzi kimejiandaa kwa yote kushinda au kushindwa kwa vile hakitakuwa chama cha kwanza barani Afrika kushindwa.
Ameongeza kuwa CCM isibweteke kwa kuwa ni chama kikongwe, amesema kuna vyama vilivyopigania uhuru kama KANU na vingine vilijikuta vikiangushwa na vyama vidogo na vichanga kwa kusimamisha wagombea wasiokubalika.
Chanzo: Mtanzania.
Usikurupuke soma chanzo.
Hii habari imeripotiwa katika gazeti la Mtanzania ukurasa wa mbele kabisa na kichwa cha habari kinasomeka: "Msekwa:CCM inaweza kushindwa".Hii mada nilidhani kaandika mtu wa maana kumbe wewe hewa! Hovyo kabisa.
Mtanzania sio gazeti la kuamini n gazeti la pro lowasa
Msekwa...ndio mmoja wapo aliyehusika kumkata Lowassa...
Sasa anaisoma number...UKAWA + Lowassa = CCM kifo cha kibaka....
Hakuna namna CCM itapona, UKAWA + Lowassa wakitia timu, huyu mzee kanafiki sana haka, ndio watu wanaohusika kuua CCM, shit kabisa..
Mtanzania sio gazeti la kuamini n gazeti la pro lowasa
Hivi gazeti likiripoti alichokisema mtu na lingine likakiacha, hili lililoripoti unalichukia?
Fahamu kwanza historia ya magazeti na yanaripoti kuhusu nani au nini?