NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,138 Dec 8, 2016 #1 Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,808 Dec 9, 2016 #2 Weka pichaa
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,873 Dec 9, 2016 #3 Nadhani mziki ndio ulimuacha yeye
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,257 Dec 9, 2016 #4 Mziki umepiga hatua na kasi kuliko yeye
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,180 Dec 9, 2016 #5 Anapiga mishe zingine mziki ulisha mtupa mkono!
BAFA JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 3,059 Reaction score 5,937 Dec 9, 2016 #6 Mara ya mwisho alikuwa karibu snaa na mh kikwete kama family member naamini kampa shughuli nzuri ya kufanya maana mkwere ni mtu apendae watu kufanikiwa
Mara ya mwisho alikuwa karibu snaa na mh kikwete kama family member naamini kampa shughuli nzuri ya kufanya maana mkwere ni mtu apendae watu kufanikiwa
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Dec 9, 2016 #7 Atakuwa amefanyiwa figisu na Diamond.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,576 Reaction score 14,647 Dec 9, 2016 #8 Huyu ndo alikuwa wa kwanza kuibiwa nyota na mzee wa kokoro
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Dec 9, 2016 #9 Last seen alishindanishwa na diamond
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Dec 9, 2016 #10 Anauza korosho
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 Dec 9, 2016 #11 Anafundisha watoto kusoma namba 1=one 2=two 3=three ........................
charleslee JF-Expert Member Joined Aug 4, 2016 Posts 408 Reaction score 201 Dec 9, 2016 #13 Anapiga viroba kinoma cku hz
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 281 Dec 9, 2016 #14 juz juz hapa nimemsikia eti anatafuta mengment ya kumsimamia kazi zake
CHUPA Member Joined Mar 22, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Dec 9, 2016 #15 anaimbwa kwaya PALE T.O.T
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Dec 9, 2016 #16 Ukiniona sina raha eeeh nalia na mawazo Kama hunipendi najua hupendi haiwezekani kila siku unanizinguaaa Ilikuwa nyimbo ya taifa enzi hizo
Ukiniona sina raha eeeh nalia na mawazo Kama hunipendi najua hupendi haiwezekani kila siku unanizinguaaa Ilikuwa nyimbo ya taifa enzi hizo
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 Dec 9, 2016 #17 Mkuu yule alikuwa muuza genge kabla mziki aujamtoa itakuwa karudi tena kwenye kazi yake pendwa.
NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,138 Dec 9, 2016 Thread starter #18 mzaramo said: Mkuu yule alikuwa muuza genge kabla mziki aujamtoa itakuwa karudi tena kwenye kazi yake pendwa. Click to expand... Duh, kumbe kawaachia wenye kazi zao nae kaenda kwenye kaz zake
mzaramo said: Mkuu yule alikuwa muuza genge kabla mziki aujamtoa itakuwa karudi tena kwenye kazi yake pendwa. Click to expand... Duh, kumbe kawaachia wenye kazi zao nae kaenda kwenye kaz zake
miss charming JF-Expert Member Joined Dec 3, 2016 Posts 910 Reaction score 906 Dec 9, 2016 #19 pwilo said: Huyu ndo alikuwa wa kwanza kuibiwa nyota na mzee wa kokoro Click to expand... Diamond kwa kuiba nyota za wenzie hajambo
pwilo said: Huyu ndo alikuwa wa kwanza kuibiwa nyota na mzee wa kokoro Click to expand... Diamond kwa kuiba nyota za wenzie hajambo
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,412 Reaction score 88,727 Dec 9, 2016 #20 Mziki Bila Ndele lazima utapotea.