wiki iliyopita alikuwa anaongea na Salama kwenye Mikasi, kumbe ndo ilikuwa bai bai!. Maisha ya Binadamu........ lol mambo yote chini ya jua ni UBATILI.
Jana huyu si alihojiwa na salama na nikaangalia mwano mwisho.
Alikuwa amerecover kabisa at least alipendeza.
Aisee nimeshtuka hapa tumbo limenikoroga ghafla