MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,796
nahisi ile kumchapa nakozi rihhana nayo inachangia, maana majuu wana upuuzi mwingi sana.
pia nami niulize huyu jamaa kwa nini anapenda kumshirikisha tyga nyimbo nyingi, ama wana project ya pamoja
Me nadhani wanamnyima tuzo kama ya Grammy award sababu ya status yake, Chriss Brown ni mtu wa mtaani sana (mshikaji) sasa labda kumpa tuzo wanaonelea wataishusha thamani ionekane tuzo inaweza tolewa kwa kila mtu!. Pamoja na kile kitendo cha kumpiga Rihanna nacho still kinamcost!.
Au yawezekana ni kwamba hana uwezo wa kuibeba kutokana na aina ya washindani anaokutana nao wakati wa kuiwania!. Imagine Leonardo diCaprio muda wote alioact zaidi ya miaka 30 hakuwahi kubeba Academy Award for best Actor ndio akaja kubeba mwaka 2014!.
Ila Chriss kweli hajawahi haribu kazi na hajawahi potea masikioni. Naipenda Beautiful people na Should have kiss.
Mbona kachua BET awards pia.Basi tu ni stereo type zao hawa wazungu, lakini ukweli kipaji cha Chris Brown siyo cha kawaida kwa mtu yoyote anayefuatilia mziki. Yaani hakuna wimbo aimbe au ashirikishwe uwe mbaya, wanabana kijinga sana...!
Black Entertainment Television Award ???Mbona kachua BET awards pia.
Beautiful ppl ni hatarMe nadhani wanamnyima tuzo kama ya Grammy award sababu ya status yake, Chriss Brown ni mtu wa mtaani sana (mshikaji) sasa labda kumpa tuzo wanaonelea wataishusha thamani ionekane tuzo inaweza tolewa kwa kila mtu!. Pamoja na kile kitendo cha kumpiga Rihanna nacho still kinamcost!.
Au yawezekana ni kwamba hana uwezo wa kuibeba kutokana na aina ya washindani anaokutana nao wakati wa kuiwania!. Imagine Leonardo diCaprio muda wote alioact zaidi ya miaka 30 hakuwahi kubeba Academy Award for best Actor ndio akaja kubeba mwaka 2014!.
Ila Chriss kweli hajawahi haribu kazi na hajawahi potea masikioni. Naipenda Beautiful people na Should have kiss.
Walikuwa na Project ya pamoja.nahisi ile kumchapa nakozi rihhana nayo inachangia, maana majuu wana upuuzi mwingi sana.
pia nami niulize huyu jamaa kwa nini anapenda kumshirikisha tyga nyimbo nyingi, ama wana project ya pamoja
Na tena ilianzishwa kwa kuwa watu weusi waliona kama Grammy imejaa wazungu tu na inawabagua watu weusi hivyo wakaamua kujianzishia tuzo zao.Black Entertainment Television Award ???
Ile iko kwa lengo la watu weusi wenye asili ya Afrika... (Affirmative Action)
Wana undugunahisi ile kumchapa nakozi rihhana nayo inachangia, maana majuu wana upuuzi mwingi sana.
pia nami niulize huyu jamaa kwa nini anapenda kumshirikisha tyga nyimbo nyingi, ama wana project ya pamoja
Nimeanza kumfuatilia huyu jamaa tokea kitambo sana lakini, tangia namfahamu sijawahi kuona ameheribu kazi. Kuna wasanii wenzake kama Mario, Omarion, Young Lloyd na Bobby Valentino walivuma sana lakini wakapotea kwenye muziki. Lakini kadiri siku zinavyoenda huyu jamaa naona anazidi kukaza tu na akishirikishwa kwenye Collabo huwa haaribu kazi hata kidogo.
Kinachonishangaza ni kwamba anaimba sana lakini hata upewaji wake tuzo kubwa kama Grammy umekuwa ni hafifu sana. Kuna nyimbo zake ukizisikiliza utabaki mdomo wazi lakini ndiyo vileeeee.
Tatizo linakuja kuwa ni nini ??? Kuna huu wimbo mpya ameshirikishwa na Lil Dicky umehit sana na ubunifu uliutumika humu ndani umekuwa mkubwa kweli.
Palantir
Basi tu ni stereo type zao hawa wazungu, lakini ukweli kipaji cha Chris Brown siyo cha kawaida kwa mtu yoyote anayefuatilia mziki. Yaani hakuna wimbo aimbe au ashirikishwe uwe mbaya, wanabana kijinga sana...!
Mkuu, inakuaje umeandika uzi mzuri sana wa The King Chris Brown ila hamna hata sehemu umetaja kipaji chake kingine cha kudansi??
Jamaa ni shigda, namkubali sana! Baada ya Mj huyu jamaa kwenye dansing hayuko mbali.
Hii part aliyo imba Kendall kwenye video, ni ubunifu na kituko hapohapo
‘Holy sh** I’ve got a ----,’
Kendall sang.
‘I’m going to explore that
right now. I’m going to
understand the inner
workings of a woman.’
Crazy
DJ Khaleed, ooooh why am i Yelling...... ????
Hahahahahahah!