Itamfirisi hii, E entertainment walikuwa wakizungumzia gharama za kuitunza na kuipaki Nchini kwao Canada ni balaa wanadhani maisha yake mengi yatakuwa Jimboni California, US na Si Toronto, Canada.
Yes hata wachambuzi walizitaja gharama lakini drake mwenyewe hakaweka wazi kama litakuwa dege la biashara ama la binafsi, hivyo wachambuzi wakasema atafilisika kwa kuuza majumba yake ili kulihudumia degeMzee wenzetu si kama bongo.. hapo consultant(s) walishayajua hayo yote na Flow yote ikaridhiwa.. so i think he knows what he is doing.
Bill Gates would not attempt such a damn thing.The most pathetic thing- one can do unless you are so stashed with cash, like Bill Gates. If you dont have a billion dollar income worth then its the biggest liability.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huku kwetu tukinunua hizo taifa zima linajikusanya na kukuta viuno uwanja wa ndege.
Umetusifia au umetuchambaHuku kwetu tukinunua hizo taifa zima linajikusanya na kukuta viuno uwanja wa ndege.
Kama nakuna hivi ukiwa front line unayarudi . hahaha Ila we jamaa bhanaHuku kwetu tukinunua hizo taifa zima linajikusanya na kukuta viuno uwanja wa ndege.
[emoji16][emoji16]Huku kwetu tukinunua hizo taifa zima linajikusanya na kukuta viuno uwanja wa ndege.
Itamfirisi hii, E entertainment walikuwa wakizungumzia gharama za kuitunza na kuipaki Nchini kwao Canada ni balaa wanadhani maisha yake mengi yatakuwa Jimboni California, US na Si Toronto, Canada.
Itamfirisi hii, E entertainment walikuwa wakizungumzia gharama za kuitunza na kuipaki Nchini kwao Canada ni balaa wanadhani maisha yake mengi yatakuwa Jimboni California, US na Si Toronto, Canada.
Mkuu Uko sahihi kabisa,The most pathetic thing- one can do unless you are so stashed with cash, like Bill Gates. If you dont have a billion dollar income worth then its the biggest liability.