Ask urself.....how many time umemcheat bila yeye kujua?..tena umetembea na wanawake 20 au wanamme 6 bila yeye kujua.....inatokea bahati mbaya tu una mfuma na meseji mbaya....and u claim to broke the relationship. Damn!!!
Thatsnt fair kabisa.....samehe na wewe usamehewe.
Ndoa isiyokua na msamaha hua haina amani.
If u kwalo with a sinner what would u expect?? Twink twice!!!
Kwani ukisamehe...na wewe Mungu anakusamehe dhambi zako ambazo mwenzako ulimficha. Na hivyo Mungu ana renew relationship yenu na inakua blindnew...mapenzi billion