Msaidizi wa ofisi anahitajika

Nipo Mwanza vipi naweza omba?
 
Haha mshahara ni laki tano tu It's too good to be true kuna watu wanavigezo mpaka vimepitiliza are also fluently in Chinese.
 
Mkuu nipo. frank oluomba
Diploma ya mining engineering
0714894219
 
Mkuu..HUNA shida na kazi wewe...Wenye shida wanajua chakufanya...Sasa email kuwa na jina lake Ni kosa?
Na ndomana watu walikuwa wanaibiwa brightermonday hivi hivi... ukiwaza kupata mshahara kwenye kuomba kazi ni rahisi kuibiwa ikiwa hautazingatia vitu vya muhumu kama contact na address ya kampuni husika koz at the end utaambiwa tuma kiasi fulani cha pesa na ww utatuma si kwa kuwa unashida na kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…