Umeongea ukweli mkuu, women empowerment uenda haikua na ajenda mbaya nyuma ya pazia tatizo wanawake wengi waliitafsiri vibaya. Walifikiri ni movement ambayo imekuja kuwapa nafasi ya kulipiza kisasi ndio maana tumefika huku kwenye mahusiano ya kuviziana.