Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,234
- 40,237
Unataka kumaanisha iyo shukrani ndio kupewa kumer?. That reward will only attract stupid men.Kuna muda msaada unaenda na "shukrani"..... Sasa sijuii aaah au basi
Mwanaume haombi ombi msaada mkuu jitahidi upambane, msaada unaaibisha unadhalilisha.Unataka kumaanisha iyo shukrani ndio kupewa kumer?. That reward will only attract stupid men.
Nani amekuambia mwanaume haombi msaada? Wapi nimesema mwanaume aishi kwa kutegemea kusaidiwa? Umeelewa content au umekulupuka?Mwanaume haombi ombi msaada mkuu jitahidi upambane, msaada unaaibisha unadhalilisha.
Pia ni stupid men wanaweza tegemea kusaidiwa na wanaume wenzao
Hakuna mtu asiesaidiwa ila tunasaidiana na wale ambao tupo nao karibu.Mwanaume haombi ombi msaada mkuu jitahidi upambane, msaada unaaibisha unadhalilisha.
Pia ni stupid men wanaweza tegemea kusaidiwa na wanaume wenzao
Don't underestimate your fellow man's strugglesmwanaume ni strong zaidi ya mwanamke so anaweza jipambania.
Unaonesha chuki ya wazi kabisa kwa hii jinsia pinzani. Haya ndo maua yetu huku dunianiDon't be simp
You are Very very wrong..by the way u r not a manMwanaume haombi ombi msaada mkuu jitahidi upambane, msaada unaaibisha unadhalilisha.
Pia ni stupid men wanaweza tegemea kusaidiwa na wanaume wenzao
Jinsia yangu unaijua 😃You are Very very wrong..by the way u r not a man
Hiyo ni nature mwanamke lazima apendelewe.Don't underestimate your fellow man's struggles
Siijui honestly...am treating u in accordance woth how you profile urself in hereJinsia yangu unaijua 😃