Msafiri kafiri!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,392
Reaction score
88,552
Labda Nina gubu hivyo Kero kwa wengine! Lkn najiona kama msafiri kafiri ndani ya nchi ninayohubiriwa kuwa ni yangu,anaehubiri kuwa utendaji umeimarika kwangu namuona kama kipofu! Au labda Mimi? ya kuteta yapo lkn hawayateti,ukweli upo lkn hautafutwi ama hautendewi! kwa upande Fulani naweka dole gumba kama Alana ya kukubali kazi lkn kwa upande mwengine ndio huo wa msafiri kafiri ndani ya nchi yake! Ninavyo fahamu ni kuwa taarifa ni msingi mpana wa maendeleo hivyo zitafutwe ili maamuzi yachukuliwe. Umaskini hautoisha kwa dizaini mambo yanavyoenda,lbd la mwisho kukazia mkazi tafuta hela usiishi kikafiri.

Kama hujaelewa liwache wapo wanaotakiwa waelewe
 
sio kafiri kakili kama ulikuwa mameno ya juwata aka msondo ngoma. hata hivyo ujumbe wako umesomeka vyema
 
Labda mi ndo sijaelewa hata mtoa mada anaongelea nini
 
Sio msafiri kafiri, ni msafiri kakiri
Msafiri kakiri mwendapole hajikwai, na akijikwa haanguki na akianguka haumii
 
Sio msafiri kafiri, ni msafiri kakiri
Msafiri kakiri mwendapole hajikwai, na akijikwa haanguki na akianguka haumii
utapata wasaa mgumu kuelewa hasa ukibadilisha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…