Mnetukwetu
Member
- Dec 1, 2018
- 7
- 0
Soma vitabuMie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia Google Scholar, elsever journal n.k lakin hazinipi majibu sahihi. Naomba Masada wa link mbalimbali.
Asante. Nitakutumia kupitia email yako mkubwa!Nitumie topic ya utafiti via:mamboleongoroto@yahoo.com nikutumie Literature Review
Nitumie topic yako kwenye pm.Mie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia Google Scholar, elsever journal n.k lakin hazinipi majibu sahihi. Naomba Masada wa link mbalimbali.
Ungeweka eneo la utafiti huenda ingesaidia wadau kukushauri Journal zinazoweza kukusaidia
Ila jitahidi kuserch kulingana na topic unayofanya utafiti naamini utafanikiwa mkuu Kila la heri
Content yake haifai kwa master level.Tumia uliyotumia kwenye Bachelor
Pm una maanisha nini?Research title: Experiment investigation on performance of dump load oil heating system.
Mie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia Google Scholar, elsever journal n.k lakin hazinipi majibu sahihi. Naomba Masada wa link mbalimbali.
Hi inatumika kwenye research za afya zaidiPubmed.com