wakuu naombeni msaada ku unlock my nokia 1616-2 iweze soma lain za bongo coz ukiweka lain inasema SIM NOT VALID nimejaribu google how i can unlock....nimepata procedure ile ya
#pw +code+1# but tatizo ninalopata nijinsi ya kupata hzo code ....kama una maujanja zaidi for how naweza unlock Naomba msaada wenu wakuu!!! Tankx