msaada

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,848
Reaction score
132,110
Nina Samsung galaxy note 4 ni mpya, ila ikiwekwa sim card baada ya lisaa sm inajizima na kujiwasha ni tatizo....mwenye kujua anipe suluhisho
 
Nitakuwa Dar Tarehe 12/11/2015_14/11/2015 anakaribisha wenye matatizo sugu ya maumivu ya kichwa ya muda mrefu kwangu mimi ni bure nitakuandikia dawa utanunua mwenyewe mimi nitakuutengenezea bure usikose kuwaambia wenzio wengi wamepona kwa uwezi WA M/mungu
 
Nikikuita wewe tapeli itakuwa kosa?
Hujasema wewe ni nani, dar utakuwa hospital gani, unatibu kwa miti au kizungu.
 
Mambo mengine hayana maana Samsung note 4 na kuumwa kichwa wapi kwa wapi
 
Nilidai nifahamishwe mwatuma vipi na mimi nijitegemee hakuna mtu alie nifahamisha
 
Mimi kama nitapeli basi chukulia hivyo hivyo kama mimi nitapeli nakushukuru sana
 
Nitakuwepo aggrey na likoma mimi ni mpemba fyoko simaanishi kama wapemba hawawezi kuwamatapeli laa na wao niwanaadamu kama wengine
 
Nitakuwa nakazi ya kununua mzigo atakae Kuja nitampokea na kumfanyia hizo dawa muda ni siku 3 nitakuwepo
 
Nina Samsung galaxy note 4 ni mpya, ila ikiwekwa sim card baada ya lisaa sm inajizima na kujiwasha ni tatizo....mwenye kujua anipe suluhisho

Nimewahi kua na tatizo hilo kwenye simu yangu ya Windows nikashauriwa na Chiefmkwawa nikafanikiwa kuiweka sawa.
Jaribu updtae simu yako, mi nilifanya hivo.
 
Nimewahi kua na tatizo hilo kwenye simu yangu ya Windows nikashauriwa na Chiefmkwawa nikafanikiwa kuiweka sawa.
Jaribu updtae simu yako, mi nilifanya hivo.
Mkuu sim iko vizuri tu mteja tu alijikanganya alitaka kuirudisha sim maana alishindwa kununua, nimeweka cheap nimeitumia na mpaka sahv naitumia haifanyi hvyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…