Mkuu
mtzedi inaonyesha Mkuu.@
Beka-one ana asili ya kichina anaandika kiswahili pamoja na herufi za kichina.
Anaandika kichina china tangu waje hapo wachina basi hata wabongo wanawaiga wachina herufi zao. Hatuwezi kumsaidia mtu ambaye hata kuandika Lugha ya kiswahili kwa ufasaha hajuwi muache mgonjwa wake aendelee kuumwa mpaka atakapo andika kiswahili vizuri.Mkuu
TheSmartLady