Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,627
- 4,330
angalia watts ya hio betri kama ni 4 au 4.5 nk tafuta charger yenye wats 4 hadi 5 kata waya chuku waya mwekundi yani+ uweke katika betri + na black yaani - uweke katika betri - hold just 10 sec. weka betri katika simu na weka chargi uone usisahau feedback
View attachment 168189
Im so sory my friend, Kama Ukimwi vile ila tu ni kwa s3. Kuwaka tena itakuwa miujiza. Unachoitajika kufanya ni ku replace motherboard
maumivu yakizidi moune daktari waone mafundu wanaweza kukusaidia hiyo inaweza kua ni tatizo la software labda ni masuala ya kuiflash kama uko dar kuna fundi mmoja yupo maeneo ya posta ni mhindi anaitw muna anaweza kukusaidia hilo tatizo

hamna dawa aise ni tatizo la memory chip
Hamna simu tena hapo,iliwahi nitokea hata mimi
Hamna dawa kivipi wakati umenambia mpaka nichange motherbody kaka..
uki change motherboad mambo poa
Wapi naweza pata hii huduma kaka?