Msaada

UMBEEE

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
41
Reaction score
22
Jamani wana jf king'amuzi gani iko poa kati ya zuku na startimes.
 
fafanua kidogo kaka ili tuweze kukusaidia,unapozungumzia king'amuzi kuwa poa kuna mambo mengi,channels nzuri au,uhakika wa kupata huduma yaani signal au kwa uonekano wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…