G gabu Member Joined Dec 16, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Feb 6, 2013 #1 Kunamtoto ni mlemavu wa miguu,mikono,shingo na hana masikio wala haongei, anamiaka 13.Anaomba msaada simu 0719894720
Kunamtoto ni mlemavu wa miguu,mikono,shingo na hana masikio wala haongei, anamiaka 13.Anaomba msaada simu 0719894720
G gabu Member Joined Dec 16, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Feb 6, 2013 Thread starter #2 Jamani hiyo namba ni ya mama yake kwa anataka kuona picha yake huyo mlemavu tafadhari anipm ili kueleweshana zaidi.
Jamani hiyo namba ni ya mama yake kwa anataka kuona picha yake huyo mlemavu tafadhari anipm ili kueleweshana zaidi.
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,373 Feb 6, 2013 #3 Hivi DECI kumbe bado ipo?
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Feb 6, 2013 #4 hiyo namba ya wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!
G gabu Member Joined Dec 16, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Feb 6, 2013 Thread starter #5 charger said: Hivi DECI kumbe bado ipo? Click to expand... Jamani sio DECI
G gabu Member Joined Dec 16, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Feb 6, 2013 Thread starter #6 Samahani ni typing error. Nimerekebisha waweza jaribu kumdodosa mmiliki wa hiyo namba kama hutojari
Daddo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,435 Reaction score 1,025 Feb 6, 2013 #7 Maisha yenyewe haya na jinsi watu walivokwisha choshwa na utapeli wengi wataishia kusema NGASTUKA MACHALI KUNDESA, jitahidi kuthibitisha maana mimi nina moyo mgu na kutoa ni moyo.
Maisha yenyewe haya na jinsi watu walivokwisha choshwa na utapeli wengi wataishia kusema NGASTUKA MACHALI KUNDESA, jitahidi kuthibitisha maana mimi nina moyo mgu na kutoa ni moyo.
G gabu Member Joined Dec 16, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Feb 6, 2013 Thread starter #8 Kwa wale wa moshi wanaweza kwenda bonite kiwanda cha soda wakamtafuta huyo mama kwa namba hizo na wakamwona huyo mlemavu
Kwa wale wa moshi wanaweza kwenda bonite kiwanda cha soda wakamtafuta huyo mama kwa namba hizo na wakamwona huyo mlemavu