Habari zenu wana JF natumai mko poa sana.....................
Ombi langu ni kwamba naombeni msaada wa kujua interview za tanroads zinakuwaje je zinakuwa za oral au written ...... Tafadhalinni naombeni msaada wenu coz nsingependa kupoteza nafasi hii............ ASANTENI
Mkuu inategemea na mkoa na post uliyoomba na mkoa kwani kama morogoro walipiga oral,lindi walipoga oral na written through computer but cashier waliandika kwenye karatasi kwani walikuwa wengi,ww jiandae 2 ndugu yangu ila kuna undugu TANROADS.