T Topetope JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 277 Reaction score 31 Oct 29, 2012 #1 Mwenye Program ya yakubadili pesa za kigeni ya android anisaidie nilizo nazo haziendi na wakati
kamonga Senior Member Joined Feb 13, 2008 Posts 170 Reaction score 34 Oct 29, 2012 #2 try OANDA currency converter watu wengi wanaitumia pia kwenda na wakati u nid to kuo online kara kwa mara.cheers
try OANDA currency converter watu wengi wanaitumia pia kwenda na wakati u nid to kuo online kara kwa mara.cheers
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 29, 2012 #4 a simple search imeleta https://play.google.com/store/search?q=currency+converter+&c=apps imeleta currency converter nyingi hebu pita hapo ujichagulie
a simple search imeleta https://play.google.com/store/search?q=currency+converter+&c=apps imeleta currency converter nyingi hebu pita hapo ujichagulie
T Topetope JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 277 Reaction score 31 Oct 29, 2012 Thread starter #5 Hizi nilisha tumia zinadanganya hazina hesabu ya kwetu
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 29, 2012 #6 Topetope said: Hizi nilisha tumia zinadanganya hazina hesabu ya kwetu Click to expand... tumia online, kuna Exchange Rates & Currency Converter iko poa sana ina full list na iko updated full time me ndo hua naitumia hiyo
Topetope said: Hizi nilisha tumia zinadanganya hazina hesabu ya kwetu Click to expand... tumia online, kuna Exchange Rates & Currency Converter iko poa sana ina full list na iko updated full time me ndo hua naitumia hiyo
T Topetope JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 277 Reaction score 31 Oct 29, 2012 Thread starter #7 Ndugu yangu mimi natumia simu hatahivyo
T Topetope JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 277 Reaction score 31 Oct 29, 2012 Thread starter #8 Hii uliyo nipatia ni ngumu
T Topetope JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 277 Reaction score 31 Oct 29, 2012 Thread starter #9 Natamani iwe kama program
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 29, 2012 #10 Topetope said: Hii uliyo nipatia ni ngumu Click to expand... nadhani hujaielewa fresh mkuu, unapo ingia home chini kabisa kuna fields za kujaza so utachagua ni kiasi gani ubadilishe toka currency ipi kwenda ipi!! ngoja nikutaftie app uridhike
Topetope said: Hii uliyo nipatia ni ngumu Click to expand... nadhani hujaielewa fresh mkuu, unapo ingia home chini kabisa kuna fields za kujaza so utachagua ni kiasi gani ubadilishe toka currency ipi kwenda ipi!! ngoja nikutaftie app uridhike
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 29, 2012 #11 Topetope said: Natamani iwe kama program Click to expand... okay nimefanikiwa kupata yenye currency za kibongo, nimeiattach hapo chini idownload na extract .zip file nilio attach Attachments Currency 1.7.1_18.zip Currency 1.7.1_18.zip 890.6 KB · Views: 20
Topetope said: Natamani iwe kama program Click to expand... okay nimefanikiwa kupata yenye currency za kibongo, nimeiattach hapo chini idownload na extract .zip file nilio attach
T Topetope JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 277 Reaction score 31 Oct 29, 2012 Thread starter #12 Ntashukuru
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 29, 2012 #13 Topetope said: Ntashukuru Click to expand... umefanikiwa kuinstall??