Msaada

PILSNER

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
438
Reaction score
759
Wasalaaam

Wakuu nimechukua fomu ya kujiunga na chuo cha veta kwa mwaka 2020 lengo langu nisome kozi ya HEAVY DUTY EQUIPMENT MECHANICS lakini nilipo kuja kuangalia form course hiyo haipo kwenye chuo cha veta mbeya.

Je ni fani gani nyingine inayoweza kunipa kazi au kipato kwa haraka ntakapomaliza kati ya hizi:
1.electrical installation
2.welding & fabrication
3.machinery fillter
4.plumbing and pipe fitting
5.Auto body repair

Ushauri na maoni yenu tafadhali.

Nawasilisha
 
Soma kile roho inapenda. Na soma kwa ajili ya kupata ufahamu na uelewa, usisome kwa kusubiri kuja kuajiriwa. Ukiwa na uelewa na kitu fulani we mwenyewe utajiongeza tu saizi ndio tunaelekea kwenye dunia ya namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…