Nubian Ancient
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 958
- 1,182
Ilikuwaje hadi majina yakatofautina?Samahani sana Wadau.
Kuna dogo namuombea chuo.
Lakini majina yake aliyotumia kidato cha 4 ni tofauti na majina aliyoyatumia kidato cha 6.
Na kwenye kuaomba vyuo mambo yamegoma.
Naomba kufahamu namna ya kutatua tatizo hili.View attachment 1160960
Labda alibatizwaIlikuwaje hadi majina yakatofautina?
Ukibatizwa lazima ubadili jina?Labda alibatizwa
Ndio kama ulikuwa unaitwa "nantombe" ukibatizwa litabadilishwa.. Unaweza kuitwa "Mwifwa"Ubatizwa lazima ubadili jina?
Suala la uniformity la majina huwa linaanzia kidato cha pili, iweje akiwa kidato cha sita abadili ilihali anajua..?Ndio kama ulikuwa unaitwa "nantombe" ukibatizwa litabadilishwa.. Unaweza kuitwa "Mwifwa"
Taasisi gani sasaaa??Note: USICHEZEE HATA HERUFI MOJA YA JINA LAKO KIENYEJI.
You will suffer consequence.
Ushauri: Aende mahakamani atoe 120,000 apewe kiapo cha majina. Hapo sasa apeleke direct kwenye taasisi husika anaweza kusaidiwa.
Hata mimi nimeshangaa sanaaaSuala la uniformity la majina huwa linaanzia kidato cha pili, iweje akiwa kidato cha sita abadili ilihali anajua..?
Udahili wa kidato cha tano alifanyiwa vipi?
Au aliingia Advance kinyemela?
Hata mimi nimeshindwa kuelewaIlikuwaje hadi majina yakatofautina?
Taasisi anayotaka kupatiwa hudumaTaasisi gani sasaaa??
Hilo kosa ni dogo na limetokana na kujisahau kwa kuongeza herufi "i"Hata mimi nimeshindwa kuelewa
Maan nimeshangaa tu majina yametofautiana.
Yaani Seleimani na Selemani
Hapo ndio kwenye tatizo.
Samahani sana Wadau.
Kuna dogo namuombea chuo.
Lakini majina yake aliyotumia kidato cha 4 ni tofauti na majina aliyoyatumia kidato cha 6.
Na kwenye kuaomba vyuo mambo yamegoma.
Naomba kufahamu namna ya kutatua tatizo hili.View attachment 1160960