R Ramso11 Member Joined Jun 5, 2011 Posts 62 Reaction score 22 Jun 13, 2011 #1 Naoma msaada wa moderm yenye speed kubwa kuliko zote. Na jinsi ya kulipia kwa unlimited katika mitandao yetu.
Naoma msaada wa moderm yenye speed kubwa kuliko zote. Na jinsi ya kulipia kwa unlimited katika mitandao yetu.
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,278 Jun 13, 2011 #2 Ramso11 said: Naoma msaada wa moderm yenye speed kubwa kuliko zote. Na jinsi ya kulipia kwa unlimited katika mitandao yetu. Click to expand... Mkuu kwa ufupi akuna modem yenye speed ndogo kwa bongo, maana modem zote zinauwezo wa speed kubwa zaidi ya zinazotolewa na ISP. Speed nzuri inategemea mambo kadhaa ikiwemo location,bundle nk. Tembelea huu uzi kwa majibu zaidi moderm-nzuri-kuliko-zote-ni-ipi-tigo-airtel-voda-zantel-ttcl-what-is-the-best.html
Ramso11 said: Naoma msaada wa moderm yenye speed kubwa kuliko zote. Na jinsi ya kulipia kwa unlimited katika mitandao yetu. Click to expand... Mkuu kwa ufupi akuna modem yenye speed ndogo kwa bongo, maana modem zote zinauwezo wa speed kubwa zaidi ya zinazotolewa na ISP. Speed nzuri inategemea mambo kadhaa ikiwemo location,bundle nk. Tembelea huu uzi kwa majibu zaidi moderm-nzuri-kuliko-zote-ni-ipi-tigo-airtel-voda-zantel-ttcl-what-is-the-best.html