Fido22 Member Joined Dec 6, 2017 Posts 18 Reaction score 4 Jan 14, 2018 #1 Naombeni kuuliza wana jf wenza wajuzi mnijuze tafadhali, je, inaluhusiwa waya wa umeme wa selves line kupita juu ya fensi ya nyumba na sio paa la nyumba maana naofia kuanza ujenzi wa fensi nisije kupata hasara.
Naombeni kuuliza wana jf wenza wajuzi mnijuze tafadhali, je, inaluhusiwa waya wa umeme wa selves line kupita juu ya fensi ya nyumba na sio paa la nyumba maana naofia kuanza ujenzi wa fensi nisije kupata hasara.