Panda bus la JM kutoka Dar kwenda Musoma ndo bus zuri, then utashukia bunda , hapo utapata magar mengi tu ya kwenda mugumu-serengeti,
Au waweza shukia hata mwanza then ukapanda gari za mugumu , sijui unaenda serengeti sehemu gani, ila kama ni hapo mjini yan mugumu njia ndo hiyo,