Msaada

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habari wanatekinolojia
Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa baadhi ya application ambazo zimekuja na simu (built in apps) mf facebook na zingine kwani naona zinachukua nafasi wakati sijawahi hata kuzitumia
Natumia simu aina ya samsung galaxy grand prime+
 
Nairoot vp kwa simu aina hii mm sio mzoefu sana wa mambo ya teknolojia
Ingia google kisha search hili neno *kingroot apk* kisha download halafu inistall kwenye simu yako. Ukisha inistall ifungue kisha iruhusu kuroot itaesabu hadi asilimia mia halafu simu Itajireboot.

Samani siko vizuri kwenye kuelekeza.
 
 
Vp kuna vitu nitapoteza nilivosave kwenye simu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…