H henry mbata Member Joined Aug 20, 2016 Posts 26 Reaction score 7 Nov 20, 2016 #1 Habarini ndugu wanaJF. kwa anayefahamu gharama za hivi vyuo vya vya clinical officer vya serikali naomba anijuze (Amo Training centre Mbeya,Lindi clinical officer na sumbawanga clinical officer training centre.
Habarini ndugu wanaJF. kwa anayefahamu gharama za hivi vyuo vya vya clinical officer vya serikali naomba anijuze (Amo Training centre Mbeya,Lindi clinical officer na sumbawanga clinical officer training centre.