T tulyfrance Member Joined Sep 11, 2016 Posts 16 Reaction score 2 Sep 12, 2016 #1 Niliaply nacte vyuo vya afya nika chaguliwa musoma utalii college,inawezekana kufanya transfer? ,
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,532 Sep 12, 2016 #2 Jieleze kikamilifu, unataka kuhamia wapi na kusoma nini ?
juliusJr Senior Member Joined Jul 14, 2016 Posts 180 Reaction score 61 Sep 12, 2016 #3 Ni process ndefu sana kijana na hitajika sababu yamuhimu sana kwahy ni bora usome hapo acha kupoteza muda wako sawa kijana watu wanatafuta vyuo sana we umepata Unataka kuhangaika
Ni process ndefu sana kijana na hitajika sababu yamuhimu sana kwahy ni bora usome hapo acha kupoteza muda wako sawa kijana watu wanatafuta vyuo sana we umepata Unataka kuhangaika