fanya kutoa taarifa polisi then nenda na police statement mpk ofisi ya gazeti lolote kisha nunua page kwenye gazeti hilo ambalo litakuwa ni la serikali, then nenda pale ofisi za necta ukiwa na polisi statement na ukurasa wa gazeti ulowekwa tangazo lako,wao watakupa barua yenye vielelezo ambavyo vitadhihirisha umepoteza vyeti au cheti