MSAADA: Write Visual Basic Program To Enter Data In Flexgrid Control Table By Using Textbox.

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Wadau. Naomba Mtu Yoyote Anisaidie Kunipa Code Za Visual Basic Nitakazo Zitumia Kuweka Data Kwenye Flex Grid Control Kipindi Cha Ku Run. Wana IT msada tafadhali.
 
The best way to get help is to present what you have, and asking kuhusu ulipokwama.
 
It sound like a home work.
Aqua hata mimi nimeiona hiyo, jamani tuache kuwa wavivu kiasi hicho, jaribu kuhangaika kidogo hata mtu anapata nguvu/motivation ya kutoa msaada.
 
Last edited by a moderator:
Kusolviwa homework nzima ni noma aisee maana siku nyingine utashindwa kufanya mwenyewe... Ni bora ukaanza na code ukafika sehemu ukakwama ukaileta then tukatoa marekebisho na suggestions na nini ufanye ili siku nyingine uweze kufanya mwenyewe... Afu mpende bwana google, programming sources nadhani zinaongoza kwenye internet kuliko field nyingine yoyote
 
Do your homework please.
That certificate means nothing if all tou know is nothing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…