Ndugu, hiyo error mara nyingi inasababishwa na vitu vinne vifuatavyo.
- Windows Service Host (SVCHOST.exe) imeshindwa kuingia Internet kutokana na kuzuiliwa na software inayokuwa inafanya kazi kwenye computer yako. hasa Firewall, antivirus au hata pia VPN programs.
- Registry settings zisizo sahihi.
- Installation ya driver ambayo haikukamilika.
- DLL drivers zisizo sahihi.