tecno w3
asanteTumia so
Nimekupata , kwa kuwa apps zingine zinakubali kuwa downloaded via playstore Suluhisho ni hili hapa.
1.Nenda playstore download app inaitwa DISA
2; Baada ya ku install fungua kisha Bonyesha Add Service
.
3;Baada ya Click add service itafunguka window yenye huduma za disa kama hii chini.
Tap Whatsapp plugin kudownload whatsapp
4;Ita download & install WhatsApp plugin . Baada ya plugin kuwa installed, itakwambia u- Restart Disa App, Tap on “Restart Disa
”.
5; Baada ya ku restart disa app itaonekana kama picha ya chini. Itakupa ujumbe, WhatsApp Settings Needed
6; Endelea kwenye setting wizard malizia kuweka number whatsapp itafunguka.
Rudia the same process kwa facebook.
Kwa hiyo utakuwa unapata notification-Messages kama kawaida kupitia disa
Contacts unazotaka stokedhii mbona haitengenezi independent shoti kati, mpaka upitie disa halafu haienroll contacts automatically
Edit contact zako Kwa kuongeza +255 zitatokea kwenye Disa.hii mbona haitengenezi independent sho
kati, mpaka upitie disa halafu haienroll contacts automatically
asanteKwanza upo wapi mimi nipo magomeni kama unaweza njooo nitakusaidia tatizo lako hilo piga sim nambari 0715073490 au 0687685914 nitakusaidia hilo tatizo
Hizo tecno w3 ni hovyo sana lakini wengi wanazikimbilia kutokana na Ukubwa wa screen lakini ni za hovyo Sana.karibuni
wataalamu habari!
mie nina shida la kudownload application ya whatsapp na facebook, kila nikijaribu kudownload nafankiwa kabisa ila pale ninapotakiwa kuweka namba ya simu ,basi inakuja alert ya mtandao kuwa chini najaribu mara kibao ,check your internet connection,naamua ku ~uninstall ,yaan mchezo ni huo.
Lakn nkinstall apps nyinginezo znakubal.
Msaada tafadhal ,simu ni tecno w3. nina muda wa miezi miwili natumia simu híi.
airtel H+,halotel, ndo mitandao nnayotumiaNdugu pamoja na maoni yote hayo ila hebu hakiki kwanza mtandao unao tumia una network nzuri. Ishindikana line unayotaka kusajili whatsapp weka kwenye simu nyingine kisha kwenye hiyo tecno weka line ya mtandao ambao upo stable kiaha jisajili. Hapo ishu ni mtandao unao tumia.
Hebu reset hiyo simu ianze upya.airtel H+,halotel, ndo mitandao nnayotumia