sjui ila huwa naona kama 6.0Ili ku download toleo la karibuni la Whatsapp, unahitaji kuwa na smartphone isio Android 2.1 au 2.2
Simu yako ni version ipi?
Kwenye Settings- nenda chini kabisa kwenye about phone-bnhalafu kuna hios version ,ni lite :1.0.0
karibu,hiyo niliyoandka hapo juu ni android version. yaan 6.0
hzo nlizokupa nmeztoa hukohuko, ndo hzoKwenye Settings- nenda chini kabisa kwenye about phone-bn
aada ya hapo check Android version
unamanisha ,hios version ,lite:1.0.0,na android version,6.0 ni kubwa? hv tatizo litakuwa ni internet quality, sasa inani shangaza kwel process zote znaenda vizuri ikifika sehem ya kuthibitisha namba,mtandao unazingua ,na hapo ndo nnakwama.Mkuu hizo application ni kubwa kidogo maana updated version yao inafika zaidi ya 30MB,hivi cheki internet kama ipo vizuri
kama version nio hiyo lite 1.0 huotaweza kudownload WhatsApp .hzo nlizokupa nmeztoa hukohuko, ndo hizo
siwez kupata version ya zamankama version nio hiyo lite 1.0 huotaweza kudownload WhatsApp .
Kuanzia 2016 version chini ya 2.7 haupati WhatsApp . Nakupata hiyo error ya internet connection.
Ndio maana apps singine unaweza download na si WhatsApp
kama hujui kitu uwe unakaa kimya na kutia subira wanaokifahamu wajapo watoe msaada.kama version nio hiyo lite 1.0 huotaweza kudownload WhatsApp .
Kuanzia 2016 version chini ya 2.7 haupati WhatsApp . Nakupata hiyo error ya internet connection.
Ndio maana apps singine unaweza download na si WhatsApp
aseme kwanza ni tecno model gani ndio used sijui kitu.kama hujui kitu uwe unakaa kimya na kutia subira wanaokifahamu wajapo watoe msaada.
tecno w3aseme kwanza ni tecno model gani ndio used sijui kitu.
umenirejeshea matumaini ,i promise i will do it. na mrejesho utakuja.Anza na hii;
Tafuta mtu ambaye atawasha wifi hotspot tumia hotspot yake kuanzia kudownload mpaka kuverify hiyo account.
Hii nnayokupa ni ya ziada;
Nenda kwenye settings ingia katika apps kisha google play then clear data. Kisha ingia play store uendelee na ishu zako.
Kwa maoni yangu android version 6.0 marshmallow ni kubwa kwa sasa haiwezi shindwa install whatsapp.
Peace chiefumenirejeshea matumaini ,i promise i will do it. na mrejesho utakuja.
i value your challenge,huenda ikasukuma wajuz kuja kunisaidiakama hujui kitu uwe unakaa kimya na kutia subira wanaokifahamu wajapo watoe msaada.